Home Habari za michezo DIRISHA DOGO ….SIMBA KUBEBA VIFAA HIVI KUTOKA ANGOLA…MGUNDA AWAPITISHA …

DIRISHA DOGO ….SIMBA KUBEBA VIFAA HIVI KUTOKA ANGOLA…MGUNDA AWAPITISHA …

Simba ilipata ushindi wa mabao 3-1 ugenini mjini Luanda, Angola lakini kabla ya kurejea nyumbani benchi la ufundi chini ya Mgunda, liliondoka na majina matatu ya nyota wa Agosto, ili kuyafanyia kazi kabla ya kurudiana nao wikiendi hii kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Mgunda aliondoka na majina ya John Mano, Dago Tshibamba kiungo mshambuliaji aliyefunga bao la kufutia machozi kwa penalti na Vidinho ambao walikuwa mwiba kwenye mchezo huo wa ugenini huku akipania kishindo cha aina yake kuipeleka Simba hatua ya makundi.

SOMA NA HII  SIMBA MPYA YA CHAMA INATISHA...SIKU YAKUTAMBULISHWA YATAJWA..WAARABU WARUDI TENA....

1 COMMENT

  1. Comment: wanayana vnataka wachezaji wazur watakao tupatia ubingwa wa ligi kuu ya NBC Pamoja na mkombe mengne