Umewahi kukutana na Bonasi ya Ukaribisho Kubwa Kama Hii?
Meridianbet pekee, wanakupa nafasi ya kuweza kujisajili na kujiweka kwenye nafasi ya kushinda, simu mbili aina ya Sumsang Flip Z zikiwa mezani, tayari kwa kuchukuliwa na mshindi.
Bila shaka hii inaweza kuwa yako, muhimu ni kufuata maelekezo tuu! Promosheni hii inawahusu wateja wapya wanaojisajili kuanzia tarehe 17 Oktoba mpaka 18 Novemba mwaka huu.
Promosheni hii imeambatana na zawadi zingine lukuki. Mshindi atatazamwa kwa hesabu ya tiketi zake za jumla alizocheza kwa kipindi cha promosheni.
Tunakukumbusha pia kuwa Meridianbet wanaendesha promosheni ya kushinda boda boda na simu nyingine ya mkononi kwa ubashiri wa bila intaneti wa kupiga *149*10# na kubashiri kuanzia mechi tano kwa dau la shilingi 250 tu. Chagua merdianbet sasa!