Home news TANZANIA YATOLEWA ‘USHAMBA’ KOMBE LA DUNIA WANAWAKE INDIA…

TANZANIA YATOLEWA ‘USHAMBA’ KOMBE LA DUNIA WANAWAKE INDIA…

Timu ya taifa ya wasichana U17 (Serengeti Girls) imeanza vibaya Fainali za Kombe la Dunia baada ya kuchapwa mabao 4-0 na Japan katika mchezo wa Kundi D jana jioni Uwanja wa Jawaharlal Nehru (Fatorda Stadium) huko Margao, Goa nchini India.

Serengeti Girls itateremka tena dimba Jumamosi kumenyana na Ufaransa katika mechi wake wa pili wa Kundi D – kabla ya kukamilisha mechi zake za Kundi hilo kwa kumenyana na Canada Jumanne ijayo.

SOMA NA HII  HATIMAYE SIMBA...YAPATA MRITHI HUYU WA TSHABALALA...ATOBOA SIRI NZITO