Home CAF WAPINZANI WA SIMBA CAF WAFANYA KUFRU….WAMFUNGA MTU GOLI 15-1…ALAFU HAWARINGI WALA NINI…

WAPINZANI WA SIMBA CAF WAFANYA KUFRU….WAMFUNGA MTU GOLI 15-1…ALAFU HAWARINGI WALA NINI…

Klabu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini imeikandamiza klabu ya Le Passe ya vusiwa vya Ushelisheli jumla ya Magoli 8-1 na kutinga hatua ya makundi #CAFCL kwa ushindi wa jumla wa 15-1.

Mamelodi almaarufu The Brazilians walishinda 7-0 kwenye mchezo wa kwanza.

FT: SUNDOWNS 8-1 LE PASSE (Agg 15-1)

Morena ⚽️
Mailula ⚽️⚽️⚽️
Motupa ⚽️⚽️
Domingo ⚽️
Maema ⚽️

Mamelod ni miongoni mwa klabu ambazo huenda ikapangwa na Simba au Yanga kwenye hatua ya makundi ligi ya Mabingwa msimu huu.

SOMA NA HII  SHINDA MPAKA MARA 4600 YA DAU LAKO KUPITIA CASINO YA WILD WILD NDANI YA MERIDIANBET..