Habari za michezo

HAWA HAPA MASTAA WA TIMU YA TAIFA WALIPATA SHAVU LA KUSAJILI UTURUKI…

admin November 1, 2022 8:23 pm

Nyota 10 wa timu ya taifa ya soka kwa watu wenye ulemavu (Tembo Warriors) wamesajili kucheza soka la kulipwa nchini Uturuki.

Wachezaji hao ni Alfan Kyanga, Juma kidevu, Habibu Likoike na Shedrack Hebron waliosajiliwa kwenye klabu ya Sisli Yeditepe.

Wengine ni Abdulkarim Amiri na Salimu Bakari waliosajiliwa na klabu ya Keysari na Ramadhan Chomelo aliyejiunga na klabu ya Konya.

Wakati Frank Ngailo akiwa kwenye klabu ya Izmir BBSK na Mudrick Azzan na Richard Swai wakiwa kwenye klabu ya Mersin.

MGUNDA AIBUKA NA HAYA MAPYA KUHUSU OKWA NA YANAYOMSIBU…”NILIMUONDOA”… BAADA YA ‘KUPEWA MAKAVU LIVE’ NA WABONGO…OKRAH AWAJIBU HIVI KUPITIA TWITTER…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply