Godson alifanikiwa kuzungumza na meridianbet kuhusu njia za ushindi wake na wapi alipata taarifa kuhusu promosheni hiyo. Baada ya kusikia taarifa ya kupitia kwa Rafiki yake kuwa Meridianbet wanatoa Bodaboda ukibashiri na kitochi, ndipo akaamua kujaribu zali lake, anasema hajaamini macho yake alipopigiwa simu kutoka Meridianbet kuwa kajishinidia chombo kipyaa.
Haikuwa kwa bahati mbaya, bali ilikuwa ni bahati yake kijana anayejishughulisha na kuuza matunda maeneo ya Shy Town, sio mwingine ni Denice amejishindia Smart Phone mpyaa aina ya Samsung A32 kutoka Meridianbet, baada ya kufanyiwa mahojiano na Meridianbet alisema kuwa alipata taarifa kwenye TV na alibashiri kupitia kitochi kwa USSD code *149*10# ndipo akajishindia Simu kalii.