Habari za michezo

FT: CLUB AFRICAIN 0-1 YANGA SC….AZIZ KI AANZA KULIPA GHARAMA ZA USAJILI…

admin November 9, 2022 10:01 pm

MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania bara Timu ya Yanga imetinga hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho barani Africa baada ya kuichapa bao 1-0 wenyeji club Africain mchezo uliopigwa nchini Tunisia.

Shujaa wa Yanga ni kiungo mshambuliaji kutoka nchini Burkana faso akitokea benchi aliipatia bao muhimu timu yake dakika ya 79 Stephane Aziz Ki akimalizia pasi ya Fiston Mayele

STRAIKA LA MABAO SIMBA QUEENS AGOMBANIWA ULAYA…MWENYEWE KAANIKA HAYA… A-Z YANGA WALIVYOTINGA MAKUNDI CAF KIBABE…MPUNGA WATAKO LIPWA HUU HAPA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

One response to “FT: CLUB AFRICAIN 0-1 YANGA SC….AZIZ KI AANZA KULIPA GHARAMA ZA USAJILI…”

  1. rogatus says:

    WAPI MKUFUNZI WENU OKWA mlisema eti alisema bado miaka miwili,SISI HATUONGI ,AU KUPEWA KAMATI CAF fair play is our mortal.

Leave a Reply