Habari za Yanga
Habari za michezo

FT: IHEFU 2-1 YANGA SC…..MENDE KAANGUSHA KABATI…’KELELE ZA UNBEATEN ‘ ZAFIA MBARALI…

admin November 29, 2022 6:18 pm

HATIMAE klabu ya Ihefu imevunja rekodi ya Yanga ya kutokufungwa katika mechi ya 50 kwenye mechi za ligi kuu Tanzania bara baada ya kufungwa kwa mabao 2-1, mchezo ambao ulipigwa Mbarali mkoani Mbeya.

Yanga Sc ilianza kupata bao kupitia kwa Yannick Bangala kabla ya Never Tigere kusawazisha kwa kupiga mpira wa adhabu uliomshinda kipa wa Yanga na kutinga nyavuni moja kwa moja.

Bao la pili Ihefu Fc limefungwa na Kissu na kufanya matokeo kuwa 2-1.

BAADA YA KUZINDUKA JUZI….MOSES PHIRI AFUNGUKA JAMBO ZITO SIMBA..AMTAJA JOHN BOCCO… BAADA YA KUTUNGULIWA JANA….NABI AITABIRIA MAZITO SIMBA SC…JEZI NYEUSI CHANZO KIPIGO CHA YANGA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply