Home Habari za michezo FT: POLISI TZ 1-3 SIMBA SC ….PHIRI AMSAIDIA BOCCO KUMJIBU MAYELE..

FT: POLISI TZ 1-3 SIMBA SC ….PHIRI AMSAIDIA BOCCO KUMJIBU MAYELE..

[the_ad id="25893"]

KLABU ya Simba imefanikiwa kuonoka na alama tatu mbele ya timu ya Polisi Tanzania baada ya kuichapa mabao 3-1 kwenye mchezo huo ambao ulichezwa kwenye dimba la Ushirika mjini Moshi.

Kwenye mechi hiyo tumeshuhudia mshambuliaji wao Moses Phiri akiweka kambani mabao mawili na kumfanya awe na mabao nane kwenye ligi kuu NBC na kuwa nafasi ya pili kwenye ufungaji mabao huku akiongza Fiston Kalala Mayele ambaye anamabao kumi.

Simba Sc ilianza kupata bao la kwanza kupitia kwa mshambuliaji wao John Bocco ambaye kwasasa amekuwa kwenye kiwango kizuri katika mechi tatu za hivi karibunu alivyoanza kupata nafasi kwenye kikosi.

Bao pekee la Polisi Tanzania limefungwa na Zuberi Khamisi dakika za lala salama

SOMA NA HII  YANGA KUWAFANYIA SAPRAIZI MASHABIKI ZAO LEO...CHICO, KOCHA WA SIMBA WATAJWA KUTAMBULISHWA...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here