Home Habari za michezo HII HAPA ORODHA MPYA YA VINARA WA KUCHEKA NA NYAVU LIGI KUU...

HII HAPA ORODHA MPYA YA VINARA WA KUCHEKA NA NYAVU LIGI KUU TZ BARA…

Habari za Simba

Wachezaji 10 ambao ni vinara wa mabao kwa mechi zilizokwishachezwa kabla ya Novemba 18 katika michuano ya Ligi kuu ya NBC Tanzania Bara ni kama ifuatavyo;

1. SIXTUS SABILO – Mbeya City (mabao 7)

2. MOSES PHIRI – Simba SC (mabao 6)

3. FISTON MAYELE – Yanga SC (mabao 6)

4. IDRIS MBOMBO – Azam FC (mabao 6)

5. RELIANTS LUSAJO – Namungo Fc (mabao 6)

6. FEISAL SALUM – Yanga SC (mabao 4)

7. MOUBARACK AMZA – Coastal Union (mabao 4)

8. ANUARY JABIR – Kagera Sugar (mabao 4)

9. MATHEO ANTHONY – KMC FC (mabao 4)

10. ABALKASIM SULEIMAN – Ruvu Shooting (mabao 4).

SOMA NA HII  PAMOJA NA YANGA KUSHINDA MECHI ZA LIGI..SENZO ASHINDWA KUJIZUIA..AMSUKUMIA NABI MZIGO HUU...