Home CAF LAANA YA KUMUACHA KISINDA NA CHAMA YAWATAFUNA BERKANE…WATEMESHWA UBINGWA WA CAF…

LAANA YA KUMUACHA KISINDA NA CHAMA YAWATAFUNA BERKANE…WATEMESHWA UBINGWA WA CAF…

RS Berkane wameondoshwa kwenye Michuano ya Kombe la Shirikisho na klabu ya Tunisia US Monastir kwa Agg ya bao 1-0.

Berkane ndiye bingwa mtetezi wa #CAFCC msimu uliopita wakitwaa kwa jumla ya Penati 5-4 dhidi ya Orlando Pirates.

Mchezo wa jana wa raundi ya pili umemalizika kwa sare ya 0-0 huku wakipoteza wa mwanzo kwa bao 1-0 na kushindwa kufuzu hatua ya makundi.

SOMA NA HII  A-Z JINSI YANGA WALIVYONYANYUA MAKWAPA JANA ...HAJI MANARA AWEKA REKODI HII MPYA...DK MSOLA MHHH...