Home Habari za michezo NUSU MSIMU TU…TAYARI MAYELE KASHAVUNJA REKODI YAKE NA ANAELEKEA KUWEKA HII MPYA…

NUSU MSIMU TU…TAYARI MAYELE KASHAVUNJA REKODI YAKE NA ANAELEKEA KUWEKA HII MPYA…

[the_ad id="25893"]

Akiwa hajamaliza hata nusu msimu, mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele ameifikia idadi ya magoli yote aliyofunga msimu iliyopita.

Mayele msimu uliopita 2021/22 kwa ujumla;

⚽ 16 – Magoli ligi kuu – NBC

⚽ 01 – Ngao ya jamii

⚽ 02 – Magoli – (FA)

ASS 05 – Total assists

➖ 19 – Total goals

Mayele msimu huu (2022/23) mpaka Novemba 26, 2022

⚽ 10 – Magoli ligi kuu – NBC

⚽ 07 – Klabu bingwa Africa – (CAF)

⚽ 02 – Ngao ya jamii.

ASS 03 – Total assists

➖ 19 – Total goals.

Katika michezo mitatu ya mwisho ligi kuu Tanzania bara, Mayele amefunga magoli (7) saba. Katika michezo yote (13) Moses Phiri amefunga magoli (8).

Katika michezo yote (14) Lusajo amefunga magoli (6). Katika michezo (12) Mbombo amefunga magoli (6).

Mayele ndiye mchezaji aliyecheza michezo michache zaidi kuliko Wachezaji wote kwenye orodha ya vinara wa magoli ligi kuu.

1. APP 11 ⚽ 10 ASS 02 – Fiston Mayele

2.APP 14 ⚽ 08 ASS 02 – Moses Phiri

3. APP 14 ⚽ 07 ASS 05 – Sixtus Sabilo

4. APP 14 ⚽ 06 ASS 01 – Reliants Lusajo

5. APP 12 ⚽ 06 ASS 00 – Idriss Mbombo

Takwimu za Mayele hapo juu zinahusisha magoli ya michezo rasmi ya mashindano pekee sio mechi za kirafiki.

SOMA NA HII  MWAMBUSI ATANGAZA PANGA, PANGUA YANGA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here