Home Habari za michezo TETESI ZA USAJILI: HUYU HAPA KIUNGO ‘KISHADA’ ANAYENUKIA SIMBA…BEI YAKE MIL 500..

TETESI ZA USAJILI: HUYU HAPA KIUNGO ‘KISHADA’ ANAYENUKIA SIMBA…BEI YAKE MIL 500..

Klabu ya Simba SC inahusishwa na kumsajili kiungo wa kati wa Primeiro De Agosto ya Angola, Dago Tshibamba Samu raia wa DR Congo kwenye usajili wa dirisha dogo.

Nyota huyo kwa mwenye umri wa miaka 25, thamani yake inatajwa kuwa ni takribani Tsh million 500.

SOMA NA HII  WAKATI YANGA WAKICHEZA DK 1,170 BILA KUFUNGWA...MANARA AIBUKA NA JIPYA..ADAI WACHEZAJI WANANUKIA..