Home Burudani TABIRI BUREE USHINDE INFINIX NOTE 12 YA FEI TOTO NA AISHI MANULA….ZINGATIA...

TABIRI BUREE USHINDE INFINIX NOTE 12 YA FEI TOTO NA AISHI MANULA….ZINGATIA HAYA…

Ni msimu wa kombe la dunia na Makampuni mengi yametafuta namna ya kujiweka karibu na wateja wake kupitia soka na moja ya Kampuni hizo ni Kampuni ya simu janja Infinix.

Kama haukua unafahamu Kampuni ya simu Infinix inatoa zawadi mbalimbali ikiwamo simu aina ya Infinix NOTE 12 kupitia kampeni ya PIGA UTOBOE unachotakiwa kufanya ni kubashiri kwa kila mechi ni team gani itaibuka na ushindi au jirekodi ukiwa unapiga danadana kama ambavyo amefanya Fei Toto na Aishi Manula   kisha post na #PIGAUTOBOE.

Jinsi Ya Kushiriki.
• Gusa link hii https://bit.ly/3Vf1juZ na kisha ubashiri kwa team ambazo zimesalia mfano leo Tarehe 28 mechi 4 zitachezwa basi cha kufanya ingia kwenye link hapo juu au scan QR CODE pichani na bashiri team gani itashinda, jinsi unavyotabiri mechi nyingi ndivyo unavyojiweka kwenye nafasi ya kujishindia Infinix NOTE 12, washindi kutangazwa kila mwisho wa week kupitia @infinixmobiletz .

• Au Onyesha uwezo wako wakupiga danadana post kupitia page yako ya Instagram weka  #PIGAUTOBOE kisha itag page ya  @infinixmobiletz .

Infinix NOTE 12 Series ni miongoni mwa simu mahiri ambazo Infinix imeziingiza sokoni mwaka huu, simu hizi zimeliteka soko la simu kutokana na technolojia bora ya fast charge ambayo inachukua dakika 17 tu kwa chaji kujaa hadi asimia 100 kutokea asilimia 0 jaribu kubashiri unufaike na simu hii janja.

SOMA NA HII  KIULAINIII KABISA ...FAHAMU JINSI YA KUSHINDA JACKPOTI YA MERIDIANBET NA UTUSUE KIMAISHA...