Home Habari za michezo ZIMBWE Jr ALIVYOFIKIWA NA Infinix HOT 40 PRO….SIMU JANJA YA WATASHA...

ZIMBWE Jr ALIVYOFIKIWA NA Infinix HOT 40 PRO….SIMU JANJA YA WATASHA WA MJINI KWA SASA…

Infinix Pro 40

Mchezaji anayekipiga katika team ya taifa na club ya simba Mohamed Hussen almaarufu Tshabalala, amepata dili la ubalozi wa simu aina ya Infinix,Hot 40 pro, kupitia kurasa @official-mohamedhussein15 ameonyesha kufuraishwa na ubalozi huwa na kuwataka mashabiki zake kufuatilia page za Infinix kupata utamu zaidi.

Infinix HOT 40 pro ni simu mpya ambayo ilizinduliwa Mwishoni mwa mwaka jana na uzinduzi wake ulifanyika tofauti ambapo ulihusisha mchezo wa Mobile game ‘FREE FIRE’ ili kuleta maana halisi ya maana ya msemo wa series hii yani “FAST AND FAN” ni HARAKA YA YENYE KUFURAHISHA.

Infinix 40 ProMbali na hayo yote simu hii inakuja na sifa bora pengine kuliko simu nyingi ambazo ni za bei hii, simu hii inakuja na Magic Ring kama iPhone, Kamera ya 108 Megapixel, Kioo cha 120Hz, Helio G99 pamoja na sifa nyingine bora.

simu hii ina watt 33 ya fast chaji yani hamna kupoteza muda ikiwa na asilimia 20 utatumia dakika 35% tu kufikia asilimia 75% lakini pia ina battery yenye kuduma na chaji mfano kam simu yake imebakiwa na asilimia 5% inaweza kudumu na chaji kwa masaa 24 huku ukiendelea kuwasailiana na ndugu jamaa na marafiki.

Simu hii imekuja na gaming processor nayo ni Mediatek Helio G99 pamoja na gaming Engine ya Xboost pamoja ya sensor ya Gyroscope kwajili yakuongeza ufanisi wa kucheza mobile game ya aina yoyote na majaribiyo yalifanyika wakati w uzinduzi Mlimani City.

InfinixSimu hii storage/chumba cha kutunza kumbukumbu ukuwa wa GB256 na Ram ya GB8 ambayo mtumiaji amepewa nafasi yakuongeza hadi kufikia GB16, simu yenye uwezo wa kufungua applications nyingi mno kwa wakati mmoja unaweza habari mbalimbali za michezo kwenye magazeti kwenye mfumo wa youtube, Instagram, mobile applications kwa wakati mmoja pasipo kutetereka.

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanataka kununua simu basi ungana na Tshabalala nunua Infinix HOT 440 pro ufurahie ulimwengu wa kidijitali ukiwa na simu yenye performance bora na bundle la GB78 za bure.

Angalia Sifa za Simu Hii Hapa.

SOMA NA HII  MPE PSG, MAN CITY NA NAPOLI LEO UIBUKE NA MTONYO WA UHAKIKA...MKEKA OG HUU HAPA...