Home Habari za michezo MPE PSG, MAN CITY NA NAPOLI LEO UIBUKE NA MTONYO WA UHAKIKA…MKEKA...

MPE PSG, MAN CITY NA NAPOLI LEO UIBUKE NA MTONYO WA UHAKIKA…MKEKA OG HUU HAPA…

Meridianbet

Kama bado unajiuliza ni mechi zipi ambazo zitakupatia mkwanja wa maana ukiwa na Meridianbet kwenye michuano hii ya UEFA mimi nakwambia hivi mechi zipo kibao sana. Kuna Manchester United, PSG, Napoli, City, na wengine kibao, wewe weka pesa yako kwenye akaunti na uanze kubashiri sasa.

Mechi ya kwanza ni hii hapa ya Newcastle United dhidi ya PSG ambao ndio wanaongoza kundi hilo baada ya kushinda mchezo wao wa kwanza. Ukiingia Meridianbet Vijana wa Howe ndio wanapendelewa kuibuka wababe wa mtanange huu wakiwa na ODDS ya 2.55 Je Paris yenye Mbappe, Kolo Muani Dembele na wengien watakubali kichapo ugenini?

Mechi nyingine kubwa ya kucheki ni kati ya Real Madrid ambao watakuwa wageni wa Napoli ya Rudi Garcia huku historia ikisema kuwa timu zilipokutana Naples walichapwa mechi zote 3. Je ni wakati wa Napoli kulipa kisasi au Real wataendeleza ubabe wao?. Mechi hii imepewa ODDS KUBWA na machaguo kibao. Ingia na ubashiri sasa.

Wkati unajiuliza umuweke nani mwingine kwenye mkeka wako, mimi nakwambaia tembea na mechi ya Borussia Dortmund dhidi ya AC Milan. Timu hizi zote mbili hazijashinda kwenye mechi zao za kwanza. Dormund kushinda mechi hii ana ODDS ya 2.40 huku Milan ya Pioli ikipewa ODDS ya 2.74. Bashiri na mabingwa mechi hii.

Ile Jackpoti baab kubwa ya Meridianbet sasa imefanyiwa ongezeko kubwa kabisa ambapo kwasasa utajipigia shilingi Milioni Mia mbili (200,000,000) kwa buku tuu ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Pia unaweza kubashiri ONLINE kwasasa. Kwa USSD menyu ni ile ile *149*10#. Ingia na ucheze sasa.

Manchester City atakuawa ugenini dhidi ya RB Leipzig na mara ya mwisho kukutana, Gurdiola alishinda kwa kishindo. RB kulipa kisasi ana ODDS ya 4.50 huku City kukwepa kisasi hicho amepewa ODDS ya 1.69. Nani kuibuka na ubabe katika dimba la Red Bull Arena. Ingia Meridianbet ubashiri mechi hii.

Wakati huo huo, Arsenal atakuwa ugenini kusaka pointi tatu zingine dhidi ya RC Lens ya Ufaransa. The Gunners wamepewa ODDS ya 1.65 kushinda mechi hii huku mwenyeji akipewa ODDS ya 5.09. Je Arteta na vijana wake wapata ushindi wa pili?. Ingia Meridianbet na ubashiri mechi hii.

Manchester United baada ya kupoteza mchezo wa kwanza, leo hii watakuwa Old Trafford kumenyana dhidi ya Galatasaray ya Uturuki huku vijana hao wa Ten Hag wakipewa nafasi kubwa ya kushinda mchezo huu kwa ODDS ya 1.47 kwa 5.88. Je watafanya nini mbele ya Galatasaray yenye Hakim Ziyech na Mauro Icardi?

Baada ya Barcelona kutoa kichapo cha maana mchezo wake uliopita, kesho atakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya FC Porto ambaye naye alitoa dozi nzito kwenye mechi yake ya kwanza. Xavi na vijana wake wamepewa nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi hapo kesho wakipewa ODDS ya 1.86. Je Wenyeji watakubali kupoteza mchezo?

SOMA NA HII  SAMATTA AZIDI KUNG'ARA LIGI YA EUROPA...AFUNGA GOLI MUHIMU DHIDI YA TIMU YAKE YA ZAMANI