Home Uncategorized NAHODHA WA MBWANA SAMATTA BADO ANAMPASUA KICHWA SOLSJKAJER

NAHODHA WA MBWANA SAMATTA BADO ANAMPASUA KICHWA SOLSJKAJER


OLE Gunnar Solskajer, Kocha Mkuu wa Manchester United inaripotiwa kuwa yupo siriazi kuipata saini ya nyota wa Aston Villa, Jack Grealish ili kuongeza makali ndani ya kikosi chake.
Bosi huyo wa United anatazama namna bora ya kuboresha kikosi chake ambacho hakijawa na makali yake kama zamani jambo ambalo linampasua kichwa.
Mabosi wa United wamempa mtego kocha huyo ambapo wanamtaka amalize ligi akiwa ndani ya sita bora ama nne bora jambo ambalo linaonekana kuwa zito.
Nahodha huyo wa Mbwana Samatta amekuwa pia akiwindwa na Barcelona pamoja na Real Madrid.
SOMA NA HII  HAYA HAPA MATOKEO YA KOCHA MKUU WA YANGA, LUC EYMAEL KWA MECHI ZA LIGI KUU BARA