Home Habari za michezo HIVI NDIVYO Infinix NOTE 40 ILIVYOZINDULIWA BONGO KIBABE…UBORA WAKE ZAIDI YA iPhone...

HIVI NDIVYO Infinix NOTE 40 ILIVYOZINDULIWA BONGO KIBABE…UBORA WAKE ZAIDI YA iPhone ….

Infinix Note 40

Kampuni ya simu za mkononi Infinix Mobile Tanzania yafanya uzinduzi mkubwa wa simu ya Infinix NOTE 40 Series nchini Tanzania, uzinduzi ulihudhuriwa na wasanii mbalimbali @gnakowarawara@hemedyphd na Radio presenters @meena_ally @fridaamaniofficial waalikwa hao ambao pia ni mabalozi wa bidhaa hii imeisifu kampuni ya Infinix kwa hatua kubwa ambayo wanaendelea kuzipiga kupitia simu zao.

Infinix Note 40Meena Ally ambae amekuwa mwanafamilia wa Infinix kwa muda mrefu alisema kuwa nafurahi na najivunia kuwa balozi wa kampuni ninayoipenda na niliyonaimani nayo tangu nianze kufanya kazi na Infinix naona kwenda mbele kwao na si kurudi nyuma hadi leo tumeliteka soko la simu na kuwafikia vijana wengi ambao ndio walengwa wakuu wa bidhaa za Infinix tupewe pongezi.

“kwenye simu hii nimefurahishwa zaidi ambavyo teknolojia ya fast charge inavyoweza kufanya kazi kwa upana mkubwa, NOTE 40 Pro ina All Round FastCharge 2.0 ya Watt 70 ambayo inakuwezesha kuchaji kufikia asilimia 50 kwa muda wa dakika 16, feature nyengine ambayo imenifurahisha ni hii kuchaji pasipo wire NOTE 40 pro ina watt 20 ya wireless Magnetic Charge lakini pia ushirika wake na JBL kwenye sound system wametugusa zaidi vijana.

Infinix Note 40Afisa Mahusiano Infinix ameeleza umahiri wa simu hii “Infinix NOTE 40 Series imetengenezwa kwa umahiri na Chip Cheetax X1, Chip ambayo imetengenezwa na wenywe Infinix ili kuongeza ufanisi katika teknolojia hii ya fast charge inafanya ufuatiliaji na ulinzi simu inapokuwa kwenye charge sifa nyengine za simu hii ni uwezo mkubwa wa kuchukua picha na Megapixel 108 pamoja na kuzoom kwa usaidizi wa OIS na umbo lenye muundo wa kisasa wa 3D Curved, AMOLED Display na refresh rate 120Hz”.

Alimalizia “NOTE 40 series sasa zipo madukani na wamemuongezea mteja wa simu zao offer ya GB 96 za internet kutoka Vodacom na nafasi ya kwenda nje au ndani ya nchi na usafiri wa ndege ya Air Tanzania (ATCL).

Infinix Note 40Infinix pia ilitambulisha Laptop na accessory za simu kama smart watch na earpads ambazo zitaingia sokoni hivi punde.

Kwa taarifa zaidi piga 0656317737 @infinixmobiletz

SOMA NA HII  MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE