Home Habari za michezo NI ARSENAL AU BAYERN MUNICH…ODDS ZA USHINDI KWA GAME HII NA NYINGINE...

NI ARSENAL AU BAYERN MUNICH…ODDS ZA USHINDI KWA GAME HII NA NYINGINE HIZI HAPA…

Meridianbet

Ligi ya mabingwa barani ulaya itatimua vumbi leo usiku ambapo itapigwa michezo mikali ya hatua ya robo fainali ya michuano hiyo, Vilabu vinne nguli vitashuka dimbani usiku wa leo kutafuta nafasi ya kufuzu hatua ya nusu fainali.

Mabingwa mara 14 wa michuano hiyo klabu ya Real Madrid itashuka dimbani leo kumenyana na mabingwa watetezi wa michuano hiyo, Huku mabingwa mara sita wa michuano hiyo klabu ya Bayern Munich watakua ugenini kukipiga dhidi ya klabu ya Arsenal.

Real Madrid leo watakua nyumbani katika dimba lao la Santiago Bernabeu wakiwakaribisha klabu ya Manchester City katika mchezo wa kwanza wa hatua ya robo fainali ya michuano hiyo, Ikumbukwe mara ya mwisho walikutana katika hatua ya nusu fainali na Real Madrid kufurushwa vibaya katika hatua hiyo.

Real Madrid wataingia kwenye mchezo huu kwanza kutafuta ushindi utakaowaeka katika mazingira mazuri ya kufuzu hatua ya nusu fainali, Lakini pia kulipa kisasi kwa kilichowakuta mbele ya Man City msimu ulimalizika ambapo walitupwa nje ya michuano hiyo kwa kipigi kikubwa cha mabao manne kwa bila.

Suka mkeka wako kwenye michezo mikali itakayopigwa leo kwenye ligi ya mabingwa barani ulaya. Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.`

Mchezo mwingine utakua baina ya vinara wa ligi kuu ya Uingereza klabu ya soka ya Arsenal ambapo watakipiga dhidi ya klabu ya Bayern Munich katika dimba lao la Emirates mchezo mwingine ambao unatarajiwa kua mkali na wenye ushindani mkubwa.

Ikumbukwe pia mchezo hautakua wakawaida kwani Arsenal nao watahitaji kufuta uteja wa muda mrefu ambao wamekua nao mbele ya klabu ya Fc Bayern Munich, Hivo mchezo wa leo pia ni wa kulipa kisasi kwa klabu hiyo kutoka Kaskazini mwa jiji la London.

Vilabu hivi vinakutana kipindi ambacho Bayern Munich wanaonekana hawako kwenye ubora mkubwa huku Arsenal wao wakiwa kwenye fomu ya maisha yao, Jambo ambalo linafanya mashabiki wengi wa soka kuamini unaweza kua wakati sahihi wa Arsenal kulipa kisasi cha mateso ya muda mrefu ambayo wamekua wakipitia mbele ya Bayern Munich.

Michezo yote ya leo inapatikana pale Meridianbet na imepewa ODDS KUBWA ambazo zinaweza kukufanya ukaibuka na mkwanja wa kutosha, cha kufanya ni wewe kutengeneza mkeka wako kupitia michezo hii ya kukata na shoka uweze kupiga mkwanja.

SOMA NA HII  RASMI...TANZANIA KUANDAA AFCON ZOTE MBILI...TFF WAFUNGUKA A-Z MCHAKATO ULIVYO...