Geita Gold FC
KWA TAKWIMU CHAMA AKASOME KWA SAIDO NTIBAZONKIZA…KAFUNIKWA VIBAYA MNOO…
admin
December 6, 2022
6:34 pm
Mshambuliaji wa Geita Gold, Saido Ntibazonkiza amezidi kuonyesha ufundi wake kwenye soka katika kufunga na kutoa pasi za mwisho.
Ni Clatous Chama pekee ndio anaemzidi mchezaji huyo aliepata kupita kwa watani wa Simba, Klabu ya Yanga.
Saido anahusishwa kutua Simba dirisha dogo ili kuja kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho.
Takwimu za Saido vs Chama.
Saido
Mabao -4 Asisti-6
Chama
Mabao-2 Asisti-7
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.