Habari za michezo

WAARABU WAMFANYIA KUFRU RONALDO…KULIPWA MSHAHARA BIL 40 KWA MWEZI…

admin December 6, 2022 11:21 am

Cristiano Ronaldo amekubali dili la TZS bilioni 494 kwa msimu na Al-Nassr FC ya Saudi Arabia sawa na Bilioni 40 kwa mwezi.

Ronaldo ambaye ni mchezaji huru anatarajiwa kujiunga na klabu hiyo Januari 2023 kwa mkataba wa miaka miwili na nusu, hivyo kumfanya kuwa mchezaji anayelipwa ghali zaidi duniani.

Hivi karibuni, Ronaldo aliingia kwenye mvutano na kocha wake Ten Hag wa Man U ambapo Ronaldo aliwasema vibaya Man U kwenye mahojiano yake ambayo yalizua gumzo na mwishoni uongozi wa timu hiyo ulimalizana naye kwa makubaliano ya pande zote mbili.

ISHU YA MIQUISSONE KURUDI TENA SIMBA…TRY AGAIN APIGILIA MSUMARI WA MOTO… KWA TAKWIMU CHAMA AKASOME KWA SAIDO NTIBAZONKIZA…KAFUNIKWA VIBAYA MNOO…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply