Habari za michezo

KISA USHINDI DHIDI YA HISPANIA…WAMOROCCO WAWAKANA WAARABU WENZAO…

admin December 7, 2022 8:11 pm

Kocha Mkuu wa Timu ya taifa ya Morocco, Walid Regragui amesema anachofahamu ni kuwa timu yake inapambana kuliwakilisha Bara la Afrika na sio Ukanda wa waarabu kama inavyosemwa na baadhi ya watu.

Baada ya jana kufanikiwa kuiondosha Timu ya Hipsania hapo jana kwa mikaju ya penati kunawalioanza kukejeli kuwa Morocco ni waarabu na hawajivunii kuwa wawakilishi wa Afrika.

“Sipo hapa kujadiri mambo ya siasa, nipo hapa kuhakikisha bendera ya Afrika inawakilishwa vyema kama ambavyo Senegal, Ghana, Cameroon wangefanya” amesema kochu huyo

Morocco itacheza hatua ya Robo Fainali dhidi ya Ureno ya Cristiano Ronaldo Desemba 10.

AHMED ALLY APIGILIA MSUMARI DILI LA NTIBAZONKIZA KUTUA SIMBA…AGUSIA ISHU YAKE NA YANGA… RUSHA KETE NA UJIPATIE MSHIKO WA KUTOSHA KUTOKA KASINO YA MTANDAONI YA MERIDIANBET….

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply