Timu ya Singida Big Stars imefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na mshambuliaji wake, Peterson Silvino Da Cruz ‘Peu Da Cruz’ raia wa Brazil kutokana na sababu za kifamilia.
Mshambuliaji huyo aliondoka katika Timu ya Singida wiki chache zilizopita ikaarifiwa kuwa ni kwa sababu za kifamilia.
Soma hapa chini Taarifa rasmi ya klabu ya Singida;







