Habari za michezo

HII HAPA RATIBA KAMILI NA TEREHE KWA MECHI ZA YANGA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA…

admin December 13, 2022 7:23 am

DROO ya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho la CAF imepangwa mchana wa jana na mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya NBC, Yanga ni miongoni mwa timu 16 zinazoshiriki hatua hiyo ikiwa imepangwa kwenye Kundi D pamoja na TP Mazembe, US Monastir, na Real Bamako

Na Hii ndio ratiba kamili ya hatua ya Makundi ya kombe hilo:

MECHI YA KWANZA: 12 Februari 2023

US Monastir v Young Africans

MECHI YA PILI: 19 Februari 2023

Young Africans v TP Mazembe

MECHI YA TATU: 26 Februari 2023

Real Bamako v Young Africans

MECHI YA NNE: 08 MACHI 2023

Young Africans v Real Bamako

MECHI YA TANO: 19 MACHI 2023

Young Africans v US Monastir

MECHI YA SITA: 2 APRILI 2023

TP Mazembe v Young Africans

WAARABU WAJITOSA KWA FEI TOTO….WAMTENGEA MAMILIONI YA PESA…HERSI AKUBALI AENDE.. DILI LA MAZNOKI  LAFIKIA PATAMU SIMBA….MGUNDA AKABIDHI MAJINA YA VIFAA VIPYAA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply