Habari za michezo
SHAFII DAUDA NA TFF NGOMA BADO MBICHI….HUKUMU YAKE BADO YASOMA VILE VILE…
admin
December 20, 2022
3:35 pm
Kamati ya maadili ya TFF imeamua kutupilia mbali maombi ya mjumbe wa DRFA aliyefungiwa na TFF, Bw Shafii Dauda hivyo ataendelea kutumikia adhabu hiyo.
Shafii aliomba shauri lake kusikilizwa tena ili haki itendeke pamoja na kuomba kamati imuondolee adhabu ya kufungiwa na faini lakini amegonga mwamba.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa kamati ya maadili Mwita Waisaka, Shafii Dauda alishindwa kuhudhuria kikao cha kamati hiyo na pia ameshindwa kutekeleza maamuzi ya kufungiwa.
Post Views: 1
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.