Home Habari za michezo BREAKING NEWS:…BARBARA AJIUZULU SIMBA…AWAACHIA MSALA HUU WAJUMBE WA BODI…

BREAKING NEWS:…BARBARA AJIUZULU SIMBA…AWAACHIA MSALA HUU WAJUMBE WA BODI…

Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba SC, mwanamama Barbara Gonzalez ameandika barua ya kujiuzulu wadhifa wake ndani ya klabu hiyo.

Barbara ameandika barua ya kujiuzulu akibainisha sababu kuu mbili, ambapo amedai anatoa nafasi kwa Bodi mpya ya Wakurugenzi kuchagua Mtendaji Mkuu mpya atakwenda sambamba na malengo yao, pili anajipa muda wa kutimiza ndoto nyingine.

Soma kwa kirefu barua ya Barbara hapa chini;

SOMA NA HII  MAKAMBO NA YANGA IMEISHA, ISHU YA MORRISON YAIBUKA,NDANI YA CHAMPIONI JUMATANO