Home Habari za michezo FEI TOTO AENDELEA ‘KUIDELETE’ YANGA SC KIAINA…AKATAA KUTAMBULIKA KAMA MCHEZAJI WAO…

FEI TOTO AENDELEA ‘KUIDELETE’ YANGA SC KIAINA…AKATAA KUTAMBULIKA KAMA MCHEZAJI WAO…

Habari za Yanga

Aliyekuwa Mchezaji nyota wa Yanga SC Feisal Salum Abdallah #FeiToto ambae amekua akihusishwa kujiunga na klabu ya Azam Fc ,amefuta utambulisho wa kuwa mchezaji wa Yanga sc kwenye bio yake katika mtandao wa instagram.

Awali mchezaji huyo alojitambulisha kama mchezaji wa klabu ya @yangasc na timu ya taifa ya Tanzania, kabla ya kuondosha utambulisho huo na kuacha utambulisho wa kuwa mchezaji wa timu ya taifa pekee.

SOMA NA HII  KISA KUFUNGWA NA ZANACO..GSM AIBUKA..ASHINDWA KUVUMILIA KUKAA KIMYA..AGUSIA USAJILI