Home Habari za michezo MASIKINI TAMBWE WEEH… YAMKUTA YA KUKUMKUTA NA SINGIDA BIG STARS…

MASIKINI TAMBWE WEEH… YAMKUTA YA KUKUMKUTA NA SINGIDA BIG STARS…

Hamis Tambwe akiwa Singida Big Stars

Taarifa kutoka katika Klabu ya Singida Big Stars, zinasema Uongozi wa Klabu hiyo umeamua kuachana na mshambuliaji wake Amissi Tambwe.

Tambwe alikuwa na Singida katika Ligi ya Championship na kufunga mabao yaliyosaidia kuipandisha Timu ya Singida Big Stars.

Tangu kupanda kwa Singida Big Stars, Tambwe amekosa nafasi katika kikosi cha kwanza na sasa ameoneshwa mlango wa kutokea.

SOMA NA HII  RASMI....HISTORIA MPYA YAANDIKWA TZ....YANGA WABEBA UBINGWA KWA STAILI MPYA...CHICO AFUFUKA DK ZA JIONI...