Home Habari za michezo WALIOKOSA PENALTI UFARANSA WABAGULIWA….MASHABIKI ‘WAWATOLEA POVU.’..

WALIOKOSA PENALTI UFARANSA WABAGULIWA….MASHABIKI ‘WAWATOLEA POVU.’..

Nyota wa timu ya taifa ya Ufaransa wenye asili ya Afrika, Kingsley Coman na Aurelien Tchouaméni, wanashambuliwa kibaguzi na baadhi ya mashabiki wa taifa hilo mara baada ya kukosa mikwaju ya penati kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Argentina hapo jana.

Mashabiki hao wanaacha maoni(comments) za kibaguzi kama vile (???????? ) na wengine kuwaita “Nigas”kwenye kurasa za Instagram za mastaa.

Tukio kama hili limewahi kuwakuta nyota wa England Bukayo Saka, Rashford na Sancho walivyokosa penati dhidi ya Italia kwenye fainali ya Mataifa ya Ulaya (EURO 2020).

SOMA NA HII  KISA KUACHWA NA SIMBA ...DILUNGA AVUNJA UKIMYA...AFUNGUKA A-Z KUHUSU MKATABA WAKE...'BWALYA' ATIA NENO....

1 COMMENT