Habari za Simba
Habari za michezo

WAKATI MBRAZILI AKIANZA MAMBO SIMBA…MO DEWJI KAMTAZAMA WEE..KISHA AKAMTAJA MGUNDA..

admin January 13, 2023 7:08 pm

Baada ya kuitembelea kambi Mjini Dubai, Mohamed Dewji ‘Mo’ amemkaribisha Robertinho na kumuahidi Mbrazil huyo kuwa katika dirisha hili la usajili atamuongezea wachezaji wengine wazuri ili aweze kutimiza malengo ya Simba.

“Binafsi nakukaribisha sana Simba, tunaamini uzoefu wako na dhamira yako kwa timu, sisi tutakupa ushirikiano mkubwa na tutakuongezea wachezaji wapya katika dirisha hili la usajili ili uifanye kazi yako kwa usahihi,” amesema Mo.

Katika mazungumzo yake na benchi la ufundi Mo amempongeza na kumshukuru Kocha Juma Mgunda kwa kukubali kuichukua timu katika nyakati ngumu na ameweza kuifanya kuwa imara zaidi.

SAKATA LA FEI TOTO…YANGA WAAMUA KAMA ‘MBWAI NA IWE MBWAI’…WAMPIGA BEI…. HUKO YANGA NI MWENDO WA KIULAYA ULAYA TU…FEI TOTO APIGA GOLI 6 AKIWA NA JEZI NYEKUNDU…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply