Habari za Yanga
Habari za michezo

FT: YANGA 1-0 IHEFU …..KISASI KIMELIPWA KWA UONYENGEE…MAYELE KAMA MANDONGA TU…

admin January 16, 2023 9:03 pm

KLABU ya Yanga Sc imefanikiwa kulipa kisasi kwa kuichapa Ihefu Fc kwa bao 1-0, mchezo ambao ulipigwa kwenye dimba la Benjamini Mkapa Jijini Dar es Salaam..

Katika mchezo huo, tumeshuhudia mshambuliaji hatari wa Yanga Fiston Kalala Mayele ameweza kuongeza kalama yake ya mabao baada ya kufunga kwenye mechi hiyo.

Mchezo wa kwanza mzunguko wa kwanza Yanga iliharibiwa Unbeaten ya 50 na kufikia 49 kwa kufungwa bao 1-0.

KAMA KAWA YANI…MORRISON KAIPIGA CHENGA YA MWILI YANGA…MASTAA WENGINE HAWA HAPA… HUU HAPA UMAFIA WA YANGA….WASAJILI KIFAA DK ZA MWISHO…BALEKE , SAWADOGO ‘NGINGA NGINGA’ TU…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply