Habari za Yanga
Habari za michezo

KAMA KAWA YANI…MORRISON KAIPIGA CHENGA YA MWILI YANGA…MASTAA WENGINE HAWA HAPA…

admin January 16, 2023 5:41 pm

Kocha Msaidizi wa Mabingwa wa kihistoria Yanga Sc, Cedric Kaze amesema kuwa wachezaji wanne wa timu hiyo wataukosa mchezo wao dhidi ya IhefuĀ  leo.

Nyota hao wanne ni Azizi Ki raia wa BurkinaFaso, Bernard Morrison wa Ghana, Yanic Bangala wa DR Congo, Aboutwalib Mshery na Zawadi Mauya wa Tanzania kutokana na matatizo mbalimbali.

Inadaiwa kuwa Aziz Ki, Morrison na Bangala wamechelewa kujiunga na kambi huku Mauya akiwa majeruhi na Mshery amejitonesha jeraha.

Yanga wanashuka katika Dimba la Mkapa leo huku wakiwa na kumbukumbu ya kufungwa na Ihefu kwenye mechi iliyotibua Unbeaten 49 za Wananchi.

Kwenye mchezo huo uliyopigwa Highland Estate mkoani Mbeya Yanga SC ilikufa kwa bao 2-1.

KISA SARE NA CSKA MOSCOW…MBRAZILI SIMBA KATIKISA KICHWA WEE….KISHA AKASEMA HAYA… FT: YANGA 1-0 IHEFU …..KISASI KIMELIPWA KWA UONYENGEE…MAYELE KAMA MANDONGA TU…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply