Habari za Simba
Habari za michezo

KUBALI AU KATAA…ILA KITAKWIMU…NTIBAZONKIZA KAZIDIWA NA MAYELE TU YANGA NZIMA..

admin January 19, 2023 8:09 pm

Saidoo Ntibazonkiza sasa amefunga mabao matano katika dakika 184 alizocheza kwenye NBC Primia Ligi akiwa na Simba SC, mabao hayo ni mengi zaidi ya manne aliyoyafunga katika dakika 1025 alizocheza akiwa na Geita Gold.

Saidoo Ntibazonkiza katika Nbc premier league msimu huu akiwa na Geita Gold

michezo 14

dakika 1025

mabao 4

Saidoo Ntibazonkiza katika NBC Primia Ligi msimu huu akiwa na Simba Sc

michezo 2

dakika 184

mabao 5

Saidoo Ntibazonkiza pia sasa ndiye mchezaji aliyehusika katika mabao mengi zaidi msimu huu kwenye NBC Primia Ligi, mabao (17) sawa na Fiston Mayele.

Saidoo Ntibazonkiza (17)

Fiston Mayele (17)

Cloutus Chama (15)

Sixtus Sabilo (13)

Moses Phiri (12)

John Bocco (10)

Takwimu za Ntibazonkiza kwenye Nbc premier league msimu huu, kwa na Geita Gold pamoja na Simba Sc.

michezo 14

dakika 1205

mabao 9

pasi za mabao 8

amehusika katika mabao 17

Ana wastani wa kufunga bao au kutoa pasi ya bao kila baada ya dakika 70.

Kwa kasi aliyonayo Saido kwa sasa ni dhahiri kuwa amekuwa tishio kwa Mshambuliaji wa Yanga Fiston Kalala Mayele.

WAKATI MASHABIKI SIMBA WAKILIA NA ‘SUB’ YA CHAMA…MBRAZILI KAWASIKIA..KISHA AKAJIBU HIVI.. WAKATI FEI TOTO AKIZIDI KUDENGUA…MUDATHIRI AITEKA ‘SHOW’ YANGA…NABI KAPAGAWA MAZIMA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply