Home Habari za michezo KWA MOTO HUU WA JOHN BOCCO….MBEYA CITY WATAFUTE PA KUKIMBILA LEO…KAMA SIO...

KWA MOTO HUU WA JOHN BOCCO….MBEYA CITY WATAFUTE PA KUKIMBILA LEO…KAMA SIO 2 NI 3…

Habari za Simba SC

Wakati Simba wakijiandaa kuwavaa Mbeya City mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara leo Januari 18, Simba bado wanajivunia kiwango cha Nahodha wao John Bocco anaerudisha makali yake katika safu ya ushambuliaji msimu huu.

Mabao 9 aliyofunga John Raphael Bocco katika NBC Primia Lig msimu huu hadi sasa, ameyafunga katika michezo mitano tofauti.

ndiye mchezaji pekee aliyefunga mabao zaidi ya nane katika michezo michache tofauti kwenye NBC Primia Ligi msimu huu.

dhidi ya Ruvu Shooting (mabao 3)

dhidi ya Tanzania Prisons (mabao 3)

dhidi ya Polisi Tanzania (bao 1)

dhidi ya Geita Gold (bao 1)

dhidi ya Kmc (bao 1)

Takwimu za John Bocco kwenye NBC Primia Ligi msimu huu hadi sasa

michezo 11

dakika alizocheza 815

mabao 9

pasi ya bao 1

amehusika katika mabao 10

ana wastani wa kufunga bao kila baada ya dakika 90

atakuwa kibaruani dhidi ya Mbeya City leo, amefunga manne katika michezo mitano iliyopita ya ligi dhidi yao.

SOMA NA HII  HUYU MORRISON SIO POA KABISA....