Jezi Mpya za Simba Kimataifa
news

KISA JEZI MPYA SIMBA…MO DEWJI ASHINDWA KUJIZUIA…’AMCHANA LIVE’ VUNJA BEI MTANDAONI…

admin February 9, 2023 7:38 am

Mkurugenzi wa Makampuni ya METL Group na Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji MO kupitia ukurasa wa Twitter wa Mzabuni wa Kuzalisha jezi za klabu hio Fred Fabian Ngajiro (Fred VunjaBei) ame comment juu ya kutaka kujua kwanini kwenye jezi mpya zitazoenda tumika katika michuano ya klabu Bingwa Afrika, Matangazo ya MO yametolewa?

Mashabiki na Wadau wengine wa soka wamechagiza zaidi kwa kuandika jumbe za kumkosoa na kumshauri mzabuni huyo juu ya mwenendo wake katika suala zima lihusianalo na matayarisho ya Jezi.

Hapo wadau wengi waendelea kuwa na shauku kubwa kufahamu nini kitaendelea juu ya swali hilo.

Habari za Simba

KUELEKEA MECHI NA WATUNISIA…NABI ‘AWASNICHI’ NDUGU ZAKE….APENYA KIMYA KIMYA MPAKA ‘CHUMBANI’.. TABIA YA KUTUKANA TUKANA  WATU YAMTOKEA PUANI AUSSEMS…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply