Habari za Yanga
Habari za michezo

MASTAA YANGA WATIKISA TUNISIA…TIZI LAO LAWA GUMZO KOTE…(PICHA)

admin February 9, 2023 7:35 pm

Kikosi cha Yanga rasmi kimeanza mazoezi nchini Tunisia, baada ya kuwasili mjini Tunis jana Jumatano (Februari 08), kikitokea Dar es salaam-Tanzania.

Kurasa za Mitandao ya Kijamii za Yanga zimethibitisha taarifa za kuanza kwa maandalizi ya kikosi cha klabu hiyo, kwa kuweka picha za Wachezaji wakiwa Uwanja wa mazoezi.

Picha za mazoezi ya wachezaji ya Yanga imeambatana na ujumbe unaosomeka: “Tumeanza mazoezi rasmi kuelekea mchezo wetu wa kwanza #cafconfederationcup ugenini dhidi ya US Monastir Jumapili”

WAKATI YANGA WAKIHANGAIKA NA SportPESA…CAF WAIPA KIBALI SIMBA KUTUMIA NEMBO YA M-BET.. HIVI NDIVYO WAGUINEA WALIVYOIPOKEA SIMBA KWAO…HOROYA TUMBO JOTO…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply