Habari za Simba
Habari za michezo

KISA JEZI ZA SIMBAKUCHELEWA..JEMEDARI SAIDI AMCHARUKIA VUNJA BEI …ADAI NI MBABAISHAJI..

admin February 15, 2023 7:02 pm

Baada ya Taarifa Rasmi kutolewa na klabu ya Simba kuhusiana na upatikanaji wa Jezi mpya za Michuano ya Kimataifa kuwa zimekwama nchini Ethipia.

Mchambuzi wa Michezo nchini Jemedari Said amefunguka namna ubabaishaji ulivyo kwa Timu ya Simba na mtu anaehusika na masuala ya utoaji wa jezi yani Fred Vunja Bei;

“Simba SC na Vuniabei mmeonyesha ubabaishaji mkubwa kwene issue ya jezi tangu msimu huu ulipoanza. Habari ya kwamba zile jezi mlizoahidi kuanza kuuzwa leo hazipo tena na eti zimekwama Ethiopia na zitaletwa kabla ya mechi ni muendelezo wa ubabaishaji kama ule wa mwanzo wa msimu”

Itakumbukwa kuwa, Mzalishaji wa jezi za Simba, Fredi Vunja Bei alisema kuwa jezi hizo maalumu kwa ajili ya mashindani ya klabu bingwa Afrika zingeanza kupatikana leo tareh 15,lakini badala yake leo wametoa taarifa kakasi kuhuus jezi hizo.

Wikiendi hii, siku ya Jumamosi Simba itashuka dimbani kukipiga na Raja Casablanca katika mchezo wa hatua ya makundi ya klabu bingwa afrika .

KUELEKEA MECHI NA WAMOROCCO…SIMBA WAULINDA USIKU NA MCHANA UWANJA WA MKAPA…ISHU IKO HIVI… KUELEKEA MECHI NA RAJA CASABLANCA..MO DEWJI ASHUSHA FURAHA SIMBA…MASHABIKI KICHEKO TUPU…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply