Basi la Simba
Habari za michezo

ISHU YA DEREVA WA SIMBA KUFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUENDESHA GARI KINYUME NYUME …UKWELI UKO HIVI…

admin February 20, 2023 5:38 pm

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Ramadhani Ng’azi amesema, ikibainika dreva wa Simba aliyeendesha kinyumenyume alifanya kwa makusudi na kusababisha usumbufu kwa watumiaji wa barabara, basi ataburuzwa mahakamani.

Kwa mujibu wa Kamanda Ng’azi, uchunguzi utafanyika kubaini sababu za Dereva wa Basi la Klabu ya Simba SC kuendesha gari hilo reverse (Kinyumenyume) kwa umbali mrefu.

Endapo itabainika kuwa alifanya kwa makusudi, atafikishwa Mahakamani ili sheria ichukue mkondo wake. Adhabu tajwa kufuatia kosa hilo inaweza kuwa Faini ya Tsh Elfu 20 za Kitanzania.

Inasemekana, dereva wa basi hilo alifanya tukio hilo wikiendi iliyopita wakati Simba SC ilipokuwa inavaana na Raja Casablanca katika dimba la Benjamini Mkapa jijini Dar.

BAADA YA KUICHAPA MAZEMBE…NABI AWAPA ‘MAKAVU’ WALIOKUWA WANAMSEMA KUWA NI KOCHA WA LIGI KUU PEKEE… MKEKA WA Tsh 1597/= WAMPA MWAMBA MILIONI 54 ZA MERIDIANBET…MWINGINE ASEPA NA MAMILIONI KWA MKEKA WA JERO TU..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply