Habari za Simba
Habari za michezo

KISA KIPIGO KUTOKA KWA WAMOROCCO…MO DEWJI AIBUKA NA ‘KAULI HII YA KIBABE’ SIMBA…

admin February 21, 2023 1:05 pm

Rais wa heshima wa Klabu ya Simba SC, Mohamed Dewji ‘MO’ amewaambia mashabiki wenzake wa klabu hiyo kwamba wasikate tamaa licha ya kupoeteza dhidi ya Raja Casablanca wikiendi iliyopita.

MO amesema, mashabiki wa kweli huwa wanakuwa pamoja na timu kwenye nyakati zote, ziwe nzuri au mbaya.

“Simba, tunashinda pamoja, tunafungwa pamoja. Hatu kati tamaa. Tutaendeleza mapambano!,” Mo Dewji Muwekezaji wa Klabu ya Simba SC.

Simba anatarajia kushuka dimbani tena leo kwenye Ligi Kuu ya NBC ambapo atavaana na Wanalambalamba wa Azam FC kisha atafunga safari kwenda Uganda kuwafata Vipers mechi ya Klabu Bingwa itakayochezwa Jumamosi Februari 25, 2023.

BAADA YA KIMYA KIREFU…BARBARA AANZA KWA KUIPONGEZA YANGA…HUENDA YA SENZO YAKAJIRUDIA..? KUHUSU ISHU YA FEI TOTO KURUDI TENA YANGA…NABI AMALIZA UBISHI….ATOA MSHARTI YAKE…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply