Habari za Michezo
Habari za michezo

JULIO;- SIMBA NIPENI KAZI MFURAHI…YANGA WANAFANIKIWA KWA SABABU YA WATU KAMA SISI…

admin March 2, 2023 10:23 pm

Kocha na mchezaji wa zamani wa Simba, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ameutaka uongozi wa Simba kuwaamini wachezaji wao wa zamani akiwemo yeye ili kuipa timu hiyo maendeleo.

Julio alisema, kwa uwezo wake na nguvu aliyoitoa akiwa Simba, anastahili kuwa hata mshauri wa benchi la ufundi ili kuinyanyua timu hiyo.

Julio alisema: “Wenzetu Yanga, wanafanikiwa sana, mtu kama Said Maulid, mdogo wangu Mtwa (Mwanamtwa Kihwelo) wapo pale, timu kubwa ikiwa inacheza wanakwenda uwanjani na wanatoa mchango wao.

“Simba nipeni kazi hapo niwaoneshe, mimi nafanya kazi ya ushauri wa benchi la ufundi la Taifa Stars, mimi ni kocha wa timu za vijana, nitashindwaje kuwasaidia Simba?” alihoji Julio.

KWA HILI BENCHI JIPYA LA YANGA…..KUNA TIMU ITAKUJA KUGONGWA KIAJABU….WANAMAKOCHA 9… KUHUSU UKWELI WA FEI TOTO KULA UGALI NA SUKARI….MAMA YAKE AANIKA UKWELI WOTE HADHARANI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply