Fei toto Yanga SC
Habari za michezo

PAMOJA NA TFF KUTOA MAAMUZI….YANGA WAMLIMA BARUA NZITO FEI TOTO…MSIMAMO WAO HUU HAPA…

admin March 7, 2023 10:03 am

Yanga imesema imepokea maamuzi ya marejeo ya Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji kuhusu suala la Mchezaji Feisal Salum ambapo baada ya kupokea maamuzi hayo, imemwandikia barua Feisal kumtaka aripoti kambini haraka iwezekanavyo na kuendelea kuutumikia mkataba wake kama Mchezaji halali wa Yanga mpaka May 30, 2024.

Klabu ya Yanga imesema iko tayari kumpokea Feisal Salum na kumjumuisha kwenye kikosi na kwa kuzingatia sera na utaratibu wa Klabu ya Yanga katika kuwaongezea mikataba Wachezaji wake wanaofanya vizuri.

“Uongozi wa Yanga uko tayari kuendelea a mazungumzo na Feisal Salum Abdallah na Wawakilishi wake juu ya kuboresha mkatabawake, kama wataridhia.”

Habari za Yanga

 

AHMED ALLY: VIPERS WATAJUTA KUJA KUCHEZA NA SIMBA DAR…..MOTO UTAWAHUSU… BAADA YA KUONA YANGA NA TFF KAMA WANAMZINGUA..FEI TOTO AKODI WAKILI ALIYEZITIKISA ARSENAL NA MAN CITY…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

One response to “PAMOJA NA TFF KUTOA MAAMUZI….YANGA WAMLIMA BARUA NZITO FEI TOTO…MSIMAMO WAO HUU HAPA…”

Leave a Reply