ZIZO NA SHALULILE WANYONGE TU...CHAMA "MWAMBA WA LUSAKA" BABA LAO...CAF IMETHIBITISHA
Habari za michezo

ZIZO NA SHALULILE WANYONGE TU…CHAMA “MWAMBA WA LUSAKA” BABA LAO…CAF IMETHIBITISHA

Marce Ben Komba March 15, 2023 9:00 pm

Kiungo wa Simba SC, Clatous Chota Chama amechaguliwa kuwa mchezaji bora Wiki ya raundi ya nne ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika na kuwashinda Peter Shalulile wa Mamelodi

Sundowns, Ahmed Zizo kutoka Zamalek na Walid Sabbar wa Raja Casablanca.

Chama ameshinda tuzo hizo baada ya kuiongoza Simba SC katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Vipers SC ya Uganda huku akifunga bao pekee la Wekundu hao wa Msimbazi.

SIMBA SC KUWAKARIBISHA IHEFU FC…YANGA WAVAANA NA GEITA GOLD…AZAM FC KUWAINGIZA MJINI MTIBWA SIMBA SC YAFANYA KUFURU…WINGA MATATA WA KIMATAIFA…USAJILI WA KUTISHA MAPEMAA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply