CAF
SIMBA YATUA MAMELODI…YATETA NA VIGOGO WA SOKA…WAONGEA NA MKUU WA MASHINDANO
Marce Ben Komba
March 16, 2023
6:10 pm
Mahusiano yenye tija. Simba SC imekua ikijenga na kusimamia dhima ya kujenga mahusiano na taasisi na vilabu vya mpira ndani na nje ya Tanzania, ikiwa na malengo ya kukuza ushirikiano na kubadilishana uzoefu.
Wiki hii Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba Sports Club, Imani Kajula alitembelea makao makuu ya mabingwa wa Afrika ya Kusini, Mamelodi Sundowns na kukutana na Mwenyekiti ya Sundowns, Tihopie Motsepe, Mkurugenzi wa Ufundi, Flemming Berg na Mkuu wa Mashindano, Stanley Mabulu. #NguvuMoja
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.