Home yanga MAMAAAA YANGA! YANGA! YANGA!…HIZI HAPA JEZI MPYA ZA YANGA

MAMAAAA YANGA! YANGA! YANGA!…HIZI HAPA JEZI MPYA ZA YANGA

MAMAAAA YANGA! YANGA! YANGA!...HUU HAPA UZI MPYA WA YANGA

Club ya Yanga imetambulisha jezi mpya watakazotumia katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika 2023, Jezi hizo tatu zimebuniwa na Sheria Ngowi na zitapatikana Yanga Makao Makuu kwa Tsh 50,000, Ngowi amesema bluu ya nyumbani, kijani ugenini na njano third kit.

SOMA NA HII  YANGA YAANZA NA GUEDE...AMPISHA MGHANA & BALEKE