Habari za Simba SC
CAF

CHAMA MFUNGAJI BORA LIGI YA MABINGWA…LIST KAMILI HII HAPA

Marce Ben Komba March 21, 2023 3:47 pm

Kingo mshambuliaji wa Simba, Clatous Chota Chama ameingia kwenye orodha ya wachezaji wanaoongoza kwa kupachika mabao katika katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika 2023.

Mpaka sasa, Mzambia huyo ana mabao manne huku mabao matatu akifunga katika mechi moja dhidi ya Horoya kwenye Dimba la Mkapa, Jumamosi, Machi 18, 2023.

1. Clatous Chama (Simba) – 4

2. Makabi Lilepo (Al Hilal) – 4

3. Kahraba (Al Ahly) – 3

4. Cassius Mailula (Mamelodi) – 3

6. Peter Shalulile (Mamelodi) – 3

7. Soufiane Benjdida (Raja Casablanca) – 2

8. Sadio Kanoute (Simba) – 2.

INONGA NA MAYELE NDANI YA KIKOSI KIMOJA…WAONDOKA DAR ES SALAAM YANGA “HATUMUOGOPI MTU…TUNAMSUBIRI YOYOTE…LIGI YA MABINGWA AFRIKA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply