Michezo
INONGA NA MAYELE NDANI YA KIKOSI KIMOJA…WAONDOKA DAR ES SALAAM
Marce Ben Komba
March 21, 2023
3:26 pm
Mlinzi wa kati wa klabu ya Simba Sc Henock Inonga Baka na Mshambuliaji wa Young Africans Fiston Kalala Mayele tayari wameanza majukumu katika timu yao ya Taifa ya DR Congo.
Timu ya Taifa inajiandaa na mechi za kufuzu AFCON 2023 dhidi ya Timu ya Taifa ya Mauritania.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.