AZAM FC YATISHIWA USALAMA...MECHI DHIDI YA GOR MAHIA KUSITISHWA
Azam FC

AZAM FC YATISHIWA USALAMA…MECHI DHIDI YA GOR MAHIA KUSITISHWA

Marce Ben Komba March 22, 2023 6:29 pm

Klabu ya Azam FC imesitisha safari yake ya Kenya kwenda kucheza na Gor Mahia Jumapili hii, kutokana na sababu za kiusalama.

Azam FC, mabingwa wa zamani wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara na Kombe la Kagame, walialikwa na wababe hao wa Kenya, Gor Mahia kwa ajili ya mchezo huo wa kimataifa wa kirafiki uliopangwa kufanyika Uwanja wa Nyayo Jijini Nairobi.

Hata hivyo, mchezo mwingine wa kirafiki dhidi ya JKU ya Zanzibar utafanyika kama ilivyopangwa kesho kwenye Uwanja wa Azam Complex saa 1.00 usiku.

FEISAL SALUM “FEI TOTO” KUREJEA YANGA…MARA BAADA YA KUMALIZA MAJUKUMU YA TAIFA STARS KOCHA SIMBA SHANGWE TU…KAPOMBE NA TSHABALALA KUACHWA TAIFA STARS

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply