Habari za Simba
ULE MGOLI WA CHAMA WACHAGULIWA…GOLI BORA LIGI YA MABINGWA
Marce Ben Komba
March 22, 2023
11:23 pm
Goli la Mchezaji wa Simba SC, Clatous Chama alilofunga dhidi ya Horoya kwa kupitia mpira wa kutenga limeteuliwa kuwa bora kati ya magoli yote yaliyofungwa kwenye mechi za mzunguko wa tano hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika.
Goli hilo la Chama lilikuwa la kwanza katika mchezo dhidi ya Horoya Jumamosi iliyopita katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.