INONGA NA MAYELE NDANI YA KIKOSI KIMOJA...WAONDOKA DAR ES SALAAM
Michezo

MAYELE NA INONGA WAPIGWA BENCHI…TIMU YA TAIFA YA CONGO

Marce Ben Komba March 24, 2023 5:22 pm

Timu ya Taifa ya Congo inashuka Dimbani kujaribu kuibua matumaini ya kufuzu kwa Michuano ya AFCON2023.

Congo ambao tayari wamecheza michezo miwili katika Kundi I, wanaburuza mkiwa wakiwa wamepoteza michezo yote miwili.

Congo jioni ya leo wana kibarua mbele ya Mauritania na wakati kikosi cha wanaoanza katika mchezo huo kikiwekwa hadharani, hakuna jina la Mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele, wala Beki wa Simba Inonga Baka ambao kwenye vikosi vya klabu zao wana uhakika wa kuanza kila mchezo.
Hiki hapa Kikosi cha Congo kinachoanza mchezo wa leo;

HIKI HAPA KIKOSI CHA TAIFA STARS MECHI DHIDI YA UGANDA WAKATI SIMBA WAKITINGA  ROBO FAINAL…MANULA NAYE AZIDI KUKIMBIZA KIBABE CAF…REKODI YAKE HII HAPA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply