Habari za michezo
MTANZANIA KULAMBA BILIONI 1.7 KISA POOL TABLE TU…ISHU NZIMA IKO HIVI…
admin
March 28, 2023
4:47 pm
Mchezaji wa Pool table, Abdallah Hussein anayeiwakilisha Tanzania kwenye Mashindano ya Pool table yanayoendelea nchini China amefuzu kuingia kwenye hatua ya wachezaji 64 bora Duniani katika mashindano ya Pool table duniani (Heyball) yanayoendelea nchini China.
Hadi kufikia hatua hiyo mtanzania huyo atapewa kiasi cha Dola 3000 huku mshindi wa mashindano hayo akitarajiwa kupatiwa bilioni 1.7 za Kitanzania.
Droo ya kuanza fainali inatarajiwa kufanyika leo huku Faniali zikitarajiwa kuanza machi 28 na kumalizika Aprili 5 huko Qinhuangdao China.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.